Habari za Punde

Rais Dk.AShein akutana na Balozi wa Urusi


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimia na Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Rannik,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Rannik,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na  Balozi wa Shirikisho la Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Rannik,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.