Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akipokea zawadi inayotokana na zao la mnazi toka kwa Waziri wa Maendeleo ya Minazi na
Maendeleo ya Shamba la Janatha wa Sri Lanka, Mheshimiwa Jagath Pushpakumara
(shati jeupe) na ujumbe wake mjini Colombo, Sri Lanka, kuzungumzia njia
za kushirikiana kukabiliana na
maradhi ya mazao likiwamo zao la mnazi ambalo linakabiliwa na tatizo la
mnyauko.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokutana na Waziri wa Maendeleo ya Minazi na Maendeleo ya
Shamba la Janatha wa Sri Lanka, Mheshimiwa Jagath Pushpakumara (shati jeupe)
na ujumbe wake mjini Colombo, Sri Lanka, kuzungumzia njia za kushirikiana kukabiliana na maradhi ya mazao
likiwamo zao la mnazi ambalo linakabiliwa na tatizo la mnyauko.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na
Waziri wa Maendeleo ya Minazi na Maendeleo ya Shamba la Janatha wa Sri Lanka,
Mheshimiwa Jagath Pushpakumara (shati jeupe) na ujumbe wake mjini
Colombo, Sri Lanka, kuzungumzia njia za kushirikiana
kukabiliana na
maradhi ya mazao likiwamo zao la mnazi ambalo linakabiliwa na tatizo la
mnyauko.
No comments:
Post a Comment