Habari za Punde

Semina ya mafunzo ya Utayarishaji wa Sera ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Elimu

 Mkurugenzi wa  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Elimu, Omar Said Ali, akieleza jambo katika Semina hiyo huko Madungu Sekondari,
 
 Washiriki  wa Mafunzo ya Utayarishaji wa Sera ya  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Elimu wakiskiliza kwa makini mafunzo hayo.

Washiriki  wa Mafunzo ya Utayarishaji wa Sera ya  Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Elimu wakiskiliza kwa makini mafunzo hayo.

PICHA NA HABIBA ZARALI -PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.