Habari za Punde

Taarifa ya Kurudi kwa Balozi Seif

Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd kesho Tarehe 19/11/2013 anatarajiwa kuwasili Zanzibar kutoka Ziara yake ya kikazi nchini Marekani.
Mara baada ya kuwasili majira ya saa 09:30 Alasiri, Balozi Seif atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Uwanjani hapo (Geti la Uwanja wa Zamani)
Kwa taarifa hii Waandishi Mnaombwa kuhudhuria ili kuja kufanya majuku yenu ya msingi.
Imetolewa na Maelezo Zanzibar  18/11/2013


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.