Gari Maalum lenye mtambo wa kukagulia makontena kujuwa thamani ya mzingo ulioko katika kontena baada ya kupitishwa katika mtambo huu unaotumia Scana kuona kilichomo ndani ya kontena, bila ya kufunguliwa kama ilivyokuwa hapo nyuma makontena hukaguliwa kwa kufunguliwa na kutizama kila kilichomo ndani. Mtambo huu utasaidia baadhi ya wafanyabiashara ambao hudangaya na kuandika bidhaa tafauti na ziliomokatika kontena na kuisababishia Serekali kukosa mapoto kutokana ushuru wa bidhaa zinazoingizwa Zanzibar.
Likiwa katika sehemu yake maalum ya kukagulia makontena katika bandari ya Zanzibar kama linavyonekana pichani likisubiri kufanya kazi yake
No comments:
Post a Comment