Habari za Punde

Uharibifu wa Miundombinu ya Mitaro

Kuna baadhi ya wananchi huharibu kwa makusudi miundombinu ya mitaro ya maji machafu kwa kuondoa mifuniko hiyo kwa kuuza vyuma chakavu kama inavyoonekana pichani moja ya mitaro hiyo ikiwa wazi na kuwekwa mawe kukinga maafa kwa watembea kwa miguu kupata athari wakati wakitumia njia hizo wakati wa usiku.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.