Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa ulioandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM, katika kijiji cha Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika katika uwanja wa mpira nungwi.na kukabidhi Kadi mpya wa wanachama wa UVCCM.
Kiongozio wa CCM Mbaraka Shamte akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM aliyejiunga na kumtambulisha katika mkutano huo uliofanyika Nungwi.
Katibu wa UVCCM akisoma risala ya Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa mgeni rasmin Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar.katika mkutano wa hadhara uliogfanyika Nungwi.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu akihutubia katika mkutano huouliofanyika Nungwi
Ndugu Othman mapara, kwakweli, sisi wadau, tunakpongeza sna, na wengi wetu tuna uzalendo nanzinew, kasiku bila ya kukipita, hatuoni raha,, lakini kunajamba moja limejitokeza kwnza comment, zetu huzitowi inavyotakiwa, tunajitahidi, matusi, hatusubutu, kwani tunajua muungwana niktendo, sasa, tukiwalenga watani wetu huzitoi, na walitikwakosoa, hawa ccm, huzito, sas sijui wew mwenzetu, huiamini hi fani kama waznz wenzetu huona, yeye ajipendekeze kwenye mashati ya kijani hatakama anakiuka sheria au taaluma, aliyoipata kwaharama kubwa za wavuja jasho, hatukatai mwana habari kama wewe kuwa na mapenzi unapande mmaja kati ya hii inayota wala, unatutihofu unapo vaa mashati ya kijani nasisi naao tembela humtandao tunatoa maoni sikama ujuba umetuzidi bali kuukosoa upande wowote utakoipotosha jamii hii ya kizanzibar
ReplyDeletekwani hujui kama mapara ni bunju au samaki...hahahaa
ReplyDeletenyinyi mnajulikana haliwi zuri kama hajasimama bwana wenu seif na mshenga wenu jusa hapo wakisema hata mgomba ni mnazi basi mtakubali kake mara ngapi mapara ameweka mikutano yenu ammy wansema uongo nchana
ReplyDeletewacheni kulumbana mtandaoni jadilini maendeleo, vipi kupitia mtandao mutabadili aidia zenu na kuweza kujikwamua kimaisha "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" na sio hiyo mikutano.
Delete