Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Maji Makaazi na Nishati, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi wa idara mbali mbali za Wizara ya Ardhi,Maji Makaazi na Nishati, wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment