Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati) akifuatana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Sadifa Juma Khamis,(kulia) baada ya kuwasili katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam,leo katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi,ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar
Miongoni mwa viongozi wa Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi,katika UVCCM Octarian En Msitiu,alipokuwa kichangia Shilingi za Kitanzania Miliioni Moja na Laki mbili,wakati wa Harambee ya kuchangia matembezi ya Vijana, yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam
Kada wa CCM Ramadhan Simai Makame,(Msheli) alipokuwa akichangia shillingi za Kitanzania Millioni mbili,katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi,ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar,iliyofanyika leo huko Oysterbay Jijini Dar es Salaam
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,akitoa tamko lake la kuichangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM,(UVCCM) katika hafla ya Harambee kufanikisha matembezi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyofanyika leo katika Bwalo la Maafisa wa Polisi,Oysterbay Jijini Dar es Salaam,(kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Sadifa Juma Khamis,(kushoto)akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,ilikuzungumza na viongozi mbali mbali na wafanyabishara katika harambee ya kuchangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM,(UVCCM) katika hafla ya harambee iliyofanyika leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,alipokuwa akizungumza na viongozi wa Umoja wa Vijana
UVCCM,katika hafla maalum ya harambee kuchangia jumuiya hiyo katika
kufanikisha matembezi ya Maadhimisho miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, katika Bwalo la Maafisa wa Polisi,Oysterbay Jijini Dar es
Salaam leo,ambapo zaidi ya Shillingi Millioni Miamoja
zilikusanywa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati)
akifuatana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Sadifa Juma
Khamis,(kulia)baada ya kumalizika kwa hafla ya mchango wa kufanikisha
matembezi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,iliyofanyika leo katika Bwalo la Maafisa wa Polisi,Oysterbay
Jijini Dar es Salaam leo,ambapo zaidi ya Shillingi Millioni Miamoja
zilikusanywa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiagana na
Naibu katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka,jana baada ya
kumalizika kwa hafla ya harambee ya kuchangia matembezi ya Maadhimisho
miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, katika Bwalo la Maafisa wa
Polisi,Oysterbay Jijini Dar es Salaam,leo.{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Wacheni kujipendekeza na bara Rudini Zanzibar mukatatue matatizo yanayowakabili wananchi. Wao wanaendelea kila sekunde kitaifa na kuitangaza nchi yao Tanzania kimataifa. Nyie mumebebeshwa shengesha za siasa tu.
ReplyDelete