Habari za Punde

Mwakilishi wa Rahaleo atimiza Ahadi yake kwa Masjid Mamiashuru Makadara Zenj.

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Jazira, akizungumza na Viongozi wa Msikiti MamieAshuru Makadara, akikabidhi mifuko ya saraju mia moja kwa ajili ya matengenezo ya msikiti huo na kukabidhi fedha taslim kwa ajili ya Madrasa ya Masjid hiyo, makabidhiano hayo yamefanyika katika msikiti huo makadara.
Mwakilishi wa Rahaleo Nassor Salim Jazira akimkabidhi Kiongozi wa Kamati ya Msikiti Mamiashuru Makadara saruji mifuko mia kwa ajili ya msikiti huo, ulioko makadara na kukabidhi shilingi laki nne kwa ajili ya madrasa ya msikiti huo 
5 comments:

 1. Tumetakiwa ukitowa mkono wa kulia basi wakushoto usijuwi ,lakini pia inategemea dhamira za mtowaji ,jee ametowa kwa ajili ya Mmungu au kwa ajili ya watu tu?

  ReplyDelete
 2. eebwana mtoa comment mwachilie ndo keshatoa huyo yalobaki ni yeye na mungu wake siri yao hiyo, usijifanye wewe ndo mungu ukaanza kumhukumu mwenzio, wewe kama unatoa mkono wa kulia wakushoto haujui basi vizuri, yeye anaetoa mpaka aite waandishi ndo keshatoa vilevile

  ReplyDelete
 3. Ameita waandishi kwa sababu yy ni kioo cha jamii ili na wananchi waige mfano wake.

  ReplyDelete
 4. yeye kaeleza huyo alocoment dini ndio inavyosema ukitoa hasa maswala ya dini usijionyeshe kaelimisha kwa nn unampinga kwa hoja za kitoto

  ReplyDelete
 5. Tatizo watu manacrame mpaka mambo ya Dini, cha msingi hapo unaangalia nia yake ambayo Mola wa ke tu ndio anaijua, hata aite watu wote au vyombo vya habar vya dunia nzima.

  ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.