Habari za Punde

Innaa Lillaahi wainnaa Ilayhi Raaji'uun - Jecha Thabit Kombo hatunaye tena

Sir Jecha Thabit Kombo hatunae tena dunia, amefariki dunia jana usiku kwa kusumbuliwa na maridhi ya Sukari, marehemu Sir Jecha anatarajiwa kuzikwa leo katika kijiji cha Chukwani baada ya sala ya ijuma kwa mujibu wa habari tlizozipata kupitia kwa jamaa na ndugu marehemu ataondokea mwanakwerekwe na kuzikwa Chukwani  

1 comment:

  1. Jamani, tupeni historia fupi ya marehemu wacheni mzaha! visiwa ya watu 1200,000 watu tunashindwa kujuana!

    Binafsi yangu sikuwahi kumfahamu lkn. niliwahi kusikia kua alikua miongoni mwa mabaharia wa mwanzo wa marehemu MV MAPINDUZI.

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amin!

    Mungu alilaze

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.