Habari za Punde

Maalim Seif alipokagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandia uwanja wa Amaan

 Meneja wa Uwanja wa Amani Zanzibar Khamis Ali Mzee, akimueleza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad juu ya maendeleo ya ulazaji wa nyasi bandia katika uwanja huo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akitembelea uwanja wa Amani kukagua maendeleo ya kazi ya ulazaji wa nyasi bandia. (picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.