Habari za Punde

Makamu wa Rais Dkt Bilal Amuaga Balozi Mpya Nchini Nigeria Balozi Ole Njolay.


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi rasmi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Balozi mpya nchini Nigeri, Ole Njolay, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana kwa ajili ya kumuaga akielekea kuanza kazi rasmi. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.