Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe, Ali Hassan Mwinyi, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Amour, alipowasili katika viwanja vya jengo la Bima kufungua Makao Makuu ya PBZ Islamic Bank Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe, Ali Hassan Mwinyi, akisalimiana na Mjumbe wa Bondi ya PBZ ,Dkt Mohammed Hafidh, alipowasili katika viwanja vya jengo la Bima kufungua Makao Makuu ya PBZ Islamic Bank Zanzibar.
RAIS Mstaaf wa Tanzania Alhaj Ali Hassan
Mwinyi,akikata Utepe kuashiria kuifunga Makao Makuu ya benki ya PBZ Ismamic Bank ilioko katika jingo la
Bima Mpirani Zanzibar, kushoto Waziri wa
Fedha Zanzibar Omar Yussuf Mzee na Mkurugenzi
Mtendaji PBZ Bwa Juma Amour, ikiwa ni shamrashamra za miaka 50 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Tanzania Alhajj Ali Hassan Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Juma Amour, baada ya ufunguzi wa PBZ Islamic Bank.
RAIS Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi,
akitia saini fomu ya kufungua akaunti katika PBZ Islamic Benki, baada ya
kuifungua Ofisi yao
ya Makao Makuu ya PBZ Islamic Benki katika jingo la Bima Mpirani Zanzibar
No comments:
Post a Comment