Habari za Punde

Utanuzi wa Kima cha Maji Bandari ya Boti Malindi.

BANDARI ya malindi sehemu ya kuegeshea meli ya Mv Sea link ikiengezwa kima cha maji kwa kuchimbwa sehemu hiyo kuwa na kima kikubewa cha maji ili kuweza chombo kinachofunga katika eneo hilo kufunga kwa uhakika wakati wa maji kujaa na kukupwa kwa maji.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.