Habari za Punde

Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar Mtende na Kizimbani Amaan. Kizimbani imeshinda 1--0

Mchezaji wa timu ya Mtende Yahya Saidi mwenye mpira akimpita beki wa timu ya Kizimbani katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt, mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Kizimbani imeshinda 1--0 
Mchezaji wa timu ya Mtende akiondoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wa ligi kuu ya grand malt Zanzibar, timu ya Kizimbani imeshinda bao 1--0. 
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Amour Ali, akijiandaa kumpita beki wa timu ya Kizimbani Abdallah Mussa, akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo huo wa ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt, mhezo uliofanyika uwanja wa Amaan.timu ya Kizimbani imeshinda 1--0 
                                               Kizaazaa golini kwa timu ya Kizimbani
Mshambuliaji wa timu ya Mtende Jumanne Seif, akiwachomoka walinzi wa timu ya Kizimbani. katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt, timu ya Kizimbani imeshinda 1--0.

Wachezaji wa hakiba na Viongozi wa timu ya Mtende Rangers wakiwa hawaamini matokeo ya mchezo huo dhidi ya timu ya Kizimbani baada ya kufungwa kwa bao 1-0 , mchezo ukiwa katika kipindi cha lala salama,
Wachezaji wa timu ya Mtende na Kizimbani wakiwania mpira wakati wa mchezo huo wa ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt. 
                              Kocha wa timu ya Kizimbani akitowa maelekezo kwa wachezaji wake
Mchezaji wa timu ya Mtende kulia Khatib Hassan na Kizimbani Jumanne Seif wakiwania mpira katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar Grand Malt,mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Kizimbani imeshinda 1--0. 

Kocha wa timu ya Mtende akiwaelekeza wachezaji wake kuongeza juhudi kuweza kuresha goli walilolofungwa na Kizimbani. 





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.