Habari za Punde

Maalim Seif Ahudhuria Maulid ya Kuzaliwa Mtume Alabama

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na waumini wa dini ya Kiislamu wakati akiwasili katika viwanja vya Alabama Michenzani Unguja, kwa ajili ya maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya  ya Mwembeshauri.
 Vijana wa maulid ya home kutoka Chumbuni, wakisoma kasida kwenye maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya  ya Mwembeshauri.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia “maulid ya home” kutoka Chumbuni, kwenye maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya  ya Mwembeshauri.
Wanafunzi wa madrasa mbali mbali wakisikiliza maulid yaliyoandaliwa na madrasat Muumin Islamiya  ya Mwembeshauri. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.