RAIS SAMIA AWAFUTA MACHOZI YA KUNI AKINA MAMA NCHINI
-
-Atoa Ruzuku ya shilingi bilioni 9.4 kwenye Majiko Banifu
-Kaya 200,000 kunufaika
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa shilingi
9,400,799...
2 hours ago
tangu lini CCM wakawa wanyonge bwana mkubwa ! nyinyi ndio wababe wa kutawala kwa nguvu , kushinda kwa nguvu na hadaa kama mlivyoshinda kiembesamaki , huu ni wakati wa uwazi inabidi kuna vitu uvikubali vya kweli , uwe mwadilifu bwana mkubwa vinginevyo kuna bwana wa mabwana anakungejea siku ukiondoka tu duniani utakoma ubishi kwa dhoruba utayokutana nayo wakati umauti unakufika na kuingia kwenye chumba chenye giza la kutisha kaburini , jirekebishe kabla ya kufika hujui lini utaondoka
ReplyDelete