ITALIA YAAHIDI KUIUNGA MKONO TANZANIA KATIKA KUDHIBITI MAJANGA NA KUPUNGUZA
ATHARI ZAKE
-
Na Mwandishi Wetu – Dodoma
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mheshimiwa Giuseppe Sean Coppola, tarehe
4 Agosti 2025, amefanya ziara katika Kituo cha Taifa...
47 minutes ago
tangu lini CCM wakawa wanyonge bwana mkubwa ! nyinyi ndio wababe wa kutawala kwa nguvu , kushinda kwa nguvu na hadaa kama mlivyoshinda kiembesamaki , huu ni wakati wa uwazi inabidi kuna vitu uvikubali vya kweli , uwe mwadilifu bwana mkubwa vinginevyo kuna bwana wa mabwana anakungejea siku ukiondoka tu duniani utakoma ubishi kwa dhoruba utayokutana nayo wakati umauti unakufika na kuingia kwenye chumba chenye giza la kutisha kaburini , jirekebishe kabla ya kufika hujui lini utaondoka
ReplyDelete