Moja ya mazao yanayopatikana katika bahari ya Visiwa vya Unguja na Pemba nin aina hii ya Kome huvuliwa na kufanya moja ya kitoeo katika maakuli ya Wananchi wa maeneo ya ukanda wa Bahari ya hindi katika visiwa vya Zanzibar. Kwa sasa bidhaa hii imekuwa ni mali sana tafauti na hapo mwazo. Ughali wake umepatikana kutokana na hali ya Kiuchumi kubadilika na kukua Zanzibar katika sekta ya Utalii na kukuwa kwa Maheteli ya Kitalii Zanzibar na kufanya bidhaa za baharini kuwa na thamani kubwa katika mahoteli hayo na kuwaongezea kipato Wavuvi vya Ukanda wa bahari. Na Kome hili kufanywa kama mapambo majumbani nawageni kuchukuwa zawadi na kumbukumbi ya kutembelea Zanzibar.
Taliri tuko tayari kushirikiana na wafugaji
-
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) Prof.
Erick Komba amesema taasisi hiyo ipo tayari muda wote kushirikiana na
wafugaji na ...
17 minutes ago
No comments:
Post a Comment