Habari za Punde

Mdau mambo ya Utalii wa Ndani Zenj.

 Watalii wanaotembelea katika Visiwa vya Zanzibar hupata fursa za kutembelea maeneo ya Historia na vivutio vya Utalii ndani ya Zanzibar  na vitongoji vyake. Kama wanavyoonekana Watalii hawa waliofika Zanzibar wakipata historia ya Nyumba ya Marcury ilioko katika mtaa wa shangani ndani ya mji mkongwe wa Unguja.Wageni wengi wanaotembelea Zanzibar hufika katika nyumba hii ikiwa katika medali ya historia ya Zanzibar.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.