Habari za Punde

ZSSF Yatowa Msaada wa Mashuka Hospital ya Mnazi Mmoja na Hospitali za Unguja na Pemba.

Meneja Huduma wa ZSSF Ndg. Khamis Fil-Fil Thani,kushoto akimkabidhi mashuka Taibu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Hassan Makame Mcha, msada huo kwa ajili ya matumizi ya hospitali hiyo, jumla ya Mashuka 300 yametolewa na ZSSF Zanzibar kwa hospitali hiyo, makabidhiano hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Katibu wa Hospitali Mnazi mmoja. 

Meneja Huduma wa ZSSF Ndg. Khamis Fil-Fil Thani,akizungumza katika hafla hiyo ya makabidhiano ya msaada huo wa mashuka,asema ZSSF husaidia Jamii katika sekta mbili za Afya na Elimu amazo ni muhimu kwa Jamii, Misaada hii iteendelea kutolea katika Hospitali Kuu za Unguja na Pemba. 
Katibu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg Hassan Makame Mcha akitowa shukrani kwa Uongozi wa ZSSF kwa kuwasaidia kupata mashuka hayo ili kupunguza uhaba wa mashuka katika hospital hiyo amboyo inahitaji jumla ya mashuka 450, kwa msaada huu umefika wakati muafaka na kutowa shukrani kwa Uongozi mzima wa ZSSF Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.