Habari za Punde

Uegeshaji Mbaya Magari

Kuna baadhi ya madereva wa magari hukiukasheria za barabara na kupuuza sehemu waliotengewa watembea kwa miguu kupita na kugeuzasehemu ya kuegeshea magari katika sehemu hizo, kama linavyoonekana gari hili likiwa katika moja ya sehemu ya njia ya watembea kwa miguu likiwa limeegeshwa na kuwa usumbufu kwa watumiaji wanjiahiyo.

1 comment:

  1. Hawa wasichana wa KIKURYA kutoka Tanganyika kwanini waachiwe kueneza utitiri wa Vibanda vya Tigo kila sehemu... nakumbuka Michenzani zamani kulikua hakuna vibanda koko vya biashara kama hivi vya Tigo ..hivo manispaa inafanya nini? kwanini isisafishe hawa wafanya biashara wa kiholela.. wanakaa wapi hawa+ aui ndio CCM wapandikizaji..

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.