GARI aina ya Isuzu
ikimwaga kifusi katika barabara ya Matele –Chambani Wilaya ya Mkoani wakati wa
ujenzi wa barabara yao ambayo inajengwa kwa pamoja baina ya mfuko wa maendeleo
ya Jamii Tanzania TASAF awamu ya pili na wananchi wa vijiji hivyo (picha na Haji Nassor, Pemba)
BALOZI NCHIMBI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUMUAGA MZEE MONGELLA
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
ameongoza mamia ya waombolezaji, katika utoaji wa heshima za mwisho na
hatimae ...
11 hours ago
Waoooo. I like that!!. Naamini itafikiwa kiwango cha lami. Isimwagiwe fusi mambo yakamaliza. Kuimarisha barabara za vijijini kutapelekea maendeleo makubwa jimboni Chambani. Nimekulia kijiji cha chambani. Najisikia fahari kwa hatua hii.
ReplyDelete