Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ZAWA Ndg. Mustafa Ali Garu,wa kwanza kulia mweye kofia akijumuika na Mafunzi wa ZAWA katika zoezi hilo la kutengeneza miundombinu ya maji kwa wananchi wa mji mkongwe.
RAIS DKT. MWINYI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar.
...
4 hours ago

Hongereni wana Mamlaka ya Maji, endeleeni kuchapa kazi nasi tunathamini juhudi zenu. Iko siku Zanzibar itaondokana kabisa na matatizo ya maji. Tunathamini sana juhudi, ari na utendaji wenu, tuko pamoja.
ReplyDelete