Meneja wa Mahusiano wa Kampuni ya Zantel, Charles Jutta akimkabidhi Cheki Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba Nkinga hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili
ya kusaidia chama cha Netboli Tanzania (CHANETA) makabidhiano hayo
yamefanyika Wizara ya Habarí mjini Dar-es-Salaam. Leo. .
Meneja wa Mahusiano wa kampuni ya Zantel, Ndg. Charles Jutta akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni
kumi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba
Nkinga, akishuhudia Mwenyekiti wa CHANETA Bi Anna Kibira, mchangohuo uliotolewa
na Kampuni ya Zantel kuchangia Chaneta katika shughuli zake za mchezo wa
Netiboli Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba Nkinga akionyesha hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya
kusaidia chama cha netboli nchini (CHANETA) iliyotolewa na kampuni ya Zantel.
Anayetazama kushoto ni Meneja wa Mahusiano wa Kapuni ya Zantel, Charles
Jutta.

No comments:
Post a Comment