Mkurugenzi Muwezeshaji wa Mfuko wa Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Abdulwakali Haji Hafidh, akizungumza na Wajasiriamali Wanawake wanaofanya biashara katika viwanja vya michezani kisonge (Sunday Market) wakati wa hafla ya kuwakabidhi mashamiana Mawili kwa ajili ya kuweka wakati wakiwa katika eneo hilo linalokuwa na jua na kufanya biasharazao kwa uhakika baada ya kukosa huduma hiyo kwa muda mrefu na kukua chini ya miti kufanya biashara hiyo.
Wajasiriamali wa Vikundi vya Wanawake wakimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Zanzibar,akitowa nasaha zake katika hafla ya kukabidhiwa mashamiana. 
Maofisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF wakifuatilia hafla hiyo iliofanyika viwanja vya michezani kisonge.
Mwakilishi wa Wajasiriamali
Sundy Market michezani Bi Fatma Hamran akitowa shukrani kwa niaba ya Wanachama
wa Vikundi vya Wajasiriamali kwa msaada huu tuliopokea kutoka kwa ZSSF, umefika
wakati muafaka na hasa katika kipindi hichi cha Mvua za masika zinazotarajiwa
kuaza wakati wowote kuazia sasa mashamiana haya yatatusaidia katika kipindi
hicho na kipindi cha jua, takriba sasa tuko chini ya Mti tukifanya biashara
zetu.
Afisa Uhusiano wa
ZSSF Ndg.Mussa Yussuf akitowa maekelezo baada ya kumalizika kwa kukabidhi
mashamiana hayo kwa Wanawake Wajasiriamali wa Sunday Maeket michezani kisonge.
Mkurugenzi
Muendeshaji wa ZSSF Ndg. Abdulwakil Haji Hafidh.akitembelea na kuona bidhaa
mbalimbali za Wajasiriamali.
No comments:
Post a Comment