Habari za Punde

Dk Bilal afungua kongamano la Muungano leo

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Muungano katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzanoa, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano) Samia Suluhu, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Muungano lililofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR
 Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa pili wa Rais, Mohamed Aboud, akizungumza wakati wa Kongamano hilo. Picha na OMR
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano) Samia Suluhu, akizungumza machache wakati akimkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua Kongamano la Muungano leo. Picha na OMR

 Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano  hilo, wakimsikiliza makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR
Baadhi ya washiriki waliohudhuria Kongamano 
hilo, wakimsikiliza makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifungua Kongamano la Muungano kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, leo Aprili 19, 2014. Picha na OMR

1 comment:

  1. fanyeni makongamano mia kila siku nyinyi tushakujueni kumbe hmna nia njema na sisi , na wale walikuwa pamoja nao pia wameangamia akina bilali na samia sululu mkasubiri malipo yenu siku mtapoingia makaburini mwenu , msifikiri mtaishi maisha , mnauza haki za wazanzibari kwa thamani ndogo ndugu bilali hata wewe umepotezwa ama kweli kusoma ni kufuta ujinga si upumbavu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.