Habari za Punde

Maadhimisho ya siku ya mtoto yatima yafanyika Zanzibar

 
 
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Omar Dadi Shajak katikati akishirikiana na Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H Insani Yardimvakfi kutoka Uturuki kupanda Miti katika maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.
Wanafunzi kutoka katika Skuli ya Muzdalifat wakishiriki katika Kupanda Miti katika maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.

Watoto Mayatima wakiwa wamekusanyika katika kusherehekea Maadhimisho ya siku ya Mtoto Yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.
 
Katibu Mkuu Osifi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Omar Dadi Shajak akitoa Hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto yatima yaliofanyika huko Jozani Mkoa wa Kusini Unguja.kulia kwake ni katibu Mtendaji wa Wakfu na mali ya Amana Sheikh Abdalla Twalib na kushoto yake ni mwakilishi wa I,H,H Sheikh Muhammed Pakshi.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.