
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Afani Othman Maalim,akisoma maelezo ya mpango kazi wa Wizara hiyo katika kikao cha Utekelezaji kwa kipindi cha robo tatu kutoka Julai-Machi 2013/2014 katika ukumbi wa Ikulu mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) (kulia) Naibu Katibu Mkuu Dk.Ramadhan Asedi.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili Afani Othman Maalim,akionesha kitabu cha jaduweli katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha robi mwaka kutoka Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment