Habari za Punde

Jumuiya ya Muzdalifah yashirikiana na Taasisi ya I H H ya Uturuki kudsaidia Mayatima

 Wawakilishi kutoka Taasisi ya I,H,H, ya Uturuki wakisalimiana na wanafunzi chekechea wa Skuli ya Muzdalifat mara baada ya kushuka kwenye gari huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.
 Wachinjaji mbuzi kwa ajili ya Sadaka kwa Watoto mayatima wakiendelea na Uchinjaji huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.
 Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakigawa sadaka ya Unga,Mchele,Mafuta ya kupikia pamoja na Nyama kwa Watoto Yatima katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar.
Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakiendelea kugawa sadaka ya Vitu mbalimbali ikiwa pamoja na Unga wa Ngano,Mchele,Mafuta ya kupikia na Nyama kwa Watoto mayatima walio katika maeneo mbalimbali Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

1 comment:

  1. wenye elimu tuelimisheni , navyojua mimi ukichinja mnyama kwa kutumia sheria ya uhalali , haitakiwi mnyama mwengine kuona mwenzake anachinjwa au kusikia kilio cha maumivu yake, huu uchinjaji uliofanywa hapa ni sahihi? naomba maelezo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.