Habari za Punde

Maalim Seif afanya dhifa kuipongeza Wizara yake

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akibadilisha mawazo na watendaji wakuu wa Ofisi yake Waziri Fatma Fereji na Katibu Mkuu Dr. Omar Dadi Shajak, baada ya kamalizika kwa dhifa aliyoiandaa kufuatia kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake Jumatatu iliyopita.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na watendaji wengine katika chakula alichokiandaa, baada ya  kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake.
 
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akijumuika pamoja na baadhi ya watendaji katika chakula alichokiandaa baada ya kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake.
 Baadhi ya watendaji wa ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, wakijipatia chakula katika dhifa maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, baada ya  kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake.
Baadhi ya watendaji wa ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, wakijipatia chakula katika dhifa maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, baada ya  kupitishwa kwa bajeti ya ofisi yake.
Picha na Salmin Said OMKR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.