DAKTARI Abeid Zubeir Khamisi kutoka jumuia ya ‘Zanzibar out reach program’ ZOP, akimfanyia matibabu ya meno mmoja wa watoto wa kisiwa cha Kojani wilaya ya wete Pemba, wakati timu ya madaktari wa jumuia hiyo, walipofika kisiwani humo kutoa matibabu bila ya malipo (picha na Mariyam Salim Pemba)
DAKTARI Othman Haji Faki kutoka ZOP, akimfanyia
mwananchi mmoja wa Kojani wilaya ya wete, matibabu ya sikio, wakati timu ya
madaktari wa Jumuia hiyo, walipofika kisiwani humo, kutoa matibabu ya magonjwa
mbali mbali bila ya malipo (picha na Mariyam Salim Pemba)
WANANCHI ambao ni wakaazi wa kisiwa cha
Kojani wilaya ya wete Pemba, wakiwa wamevaa vifaa maalum wakisubiri matibabu
ya macho, kutoka kwa madaktari wa Jumuia ya ‘ZOP’ ambao timu ya madaktari hao,
walifika kisiwa humo kutoa matibabu bila ya malipo (picha na Mariyam Salim, Pemba)
No comments:
Post a Comment