Habari za Punde

Dk Shein akutana na ujumbe wa wahadhiri wa chuo kikuu cha Cairo

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,unaoongozwa na Prof. Ibrahim  Elsayed Gaber, (wa pili kulia) ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na Prof.Ibrahim  Elsayed Gaber,Kiongozi  wa  Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.