Habari za Punde

Angoza yafanya tathmini ya upatikanaji wa huduma ya maji ya kunywa na matumizi majumbani

MRATIBU wa ANGOZA Hassan Juma Khamis akiwasilisha ripoti ya tathmini ya upatikanaji wa huduma ya maji ya kunywa na matumizi majumbani, utafiti uliowasilishwa jana ukumbi wa mikutano wa Halmashauri wilaya ya Chakechake Pemba, ambapo ulihusisha wilaya ya Chakechake kwa Pemba na wilaya ya Magharibi kwa Unguja (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.