WATENDAJI wa kituo cha huduma za sheria
Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakiongozwa na Mratibu wao kulia, bibi Fatma Hemed
Khamis, wakiwa pamoja na Kamanda mdhamini wa kambi ya Chuo cha mafunzo Kengeja
wilaya ya Mkoani, Hafidhi Haji Mcha, mara baada ya kuzungumza na wapiganaji wa kambi
hiyo, ambapo ujumbe wa ZLSC ulifika kambini hapo (picha na Haji Nassor, Pemba)
KAIMU Mratibu wa Tume ya Ukimwi Zanzibar
ofisi ya Pemba, Ali Mbarouk Omar, akiwasilisha mada ya mswada wa sheria wa kujikinga
na kusimamia mambo ya ukimwi, kwenye mafunzo ya haki za binaadamu
yaliowashirikisha baadhi ya wanajumuia ya ZAPHA+ na watendaji wa afisi ya
makamu wa kwanza, mafunzo yalioandaliwa na kituo cha huduma za sheria ZLSC
Pemba (picha na Haji Nassor,Pemba)
No comments:
Post a Comment