Habari za Punde

Uchaguzi wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na wanachama wakati akiwasili ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu kwa ajili ya uchaguzi wa CUF Wilaya ya Magharibi.
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,  alipowasili ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu kwa ajili ya uchaguzi wa CUF Wilaya ya Magharibi.

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Hamad Massoud Hamad akizungumza wakati akifungua mkutano mkuu wa uchaguzi Wilaya ya Magharibi katika ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu.


 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu (CUF) Wilaya ya Magharibi Unguja, wakifuatilia mkutano huo katika ukumbi wa Basra Mtoni Kidatu. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.