Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kongamano la Amani kuelekea
Uchaguzi Mkuu wa 2025 Jijini Dar es Salaam.
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa
Diamond...
55 minutes ago
Mimi wala sioni Choyo Na wingi wa magari na Barabara za Ghorofa... China na EU, USA, Canada, Brazil ( sasa nayo inaingia kundini) Ni Nchi zenye high Polution na Curbon ammunation... Huko China ndio kumerzidi hata hewa yake sio Safi kutokana na Wataalamu... Tusubiri tu Utasikia Wachina Wanaugua Magonjwa ya Ajabu huko siku za mbele.
ReplyDelete