Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika ukumbi wa mkutano baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma, kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abrahaman Kinana 
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma, kulia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein na kushoto Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abrahaman Kinana 

 Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 19, 2014
PICHA NA IKULU



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.