Habari za Punde

Soko la Mayai kuwa Juu na Kushindwa Wazalishaji wa Zanzibar kukidhi soko hilo,

Matumizi ya Mayai katika Mji wa Zanzibar limekuwa likikuwa kila siku na mahitaji ya bidhaa hiyo kuzidi kuongezeka na kuingiza bidhaa hiyo kutoka nchi jirani.Trea moja huuzwa kwa shilingi 8000/= katika marikiti kuu ya Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.