Habari za Punde

Unapakumbuka Hapa?


4 comments:

  1. Ndio, pahala kuomba toba na maghifira, kwa waliokosa kufahamu wanapasamini sana hapo, yarabi tupe mioyo ya kufahamu kwanini tukaletwa duniani, atulinde na kutuongoza katika mema, nusuru ya hatima.

    ReplyDelete
  2. Gofu Maisara.. ni opposite na alipokua akikaa Babu Karume njia ya Maisara.. Na Nyuma ya hapo ni njumba ya Juma saadati. I hope I did not miss it...Au nimekosea

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.