Habari za Punde

Wanafunzi waliofaulu vizuri skuli ya msingi ya Wingwi Mtemani wazawadiwa

 
Mdhamini wa Hafla ya Utoaji zawadi Mwalimu Yussuf Shoka Hamad (Katikakati) akifuatilia kwa makini hafla ya utoaji zawadi

 
Wanafunzi  waliofaulu mchepuo mwaka 2013 Shule ya Mtemani wakifuatilia jambo



Kamati ya skuli ya Mtemani wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliofaulu darasa la saba 2013-14
 
Walimu wa Shule ya msingi Mtemani wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliofaulu darasa la saba 2013-14

 
Mwanafunzi Zakia Ali Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Mgeni Rasmi Bwana Mohammed Nassor Salim

 
Mwanafunzi Abubakar Mohammed Bakar akipokea zawadi

 
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Mtemani Bi Wahida Saleh Hamad akipongezwa na mdhamini wa hafla Bwana Yussuf Shoka.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.