Habari za Punde

Nyangumi alipwerewa Shamiani Pemba Akiwa Tayari Sehemu yake imekatwa na Wananchi

Nyangumi aliyepwerewa katika ufukwe wa bahari ya Pemba Wilaya ya Mkoani akiwa na urefu wa mita 45  na upana mita 25 akiwa mkatika ufukwe wa shamiani Pemba wananchi wakikata mapande ya mnofo wake, 
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Nyangumi huyu wananchi wakifanya kazi yao kukata minofo ya nyangumi huyu kwa ajili ya kupata mafuta ya nyangumi..



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.