Habari za Punde

Programu ya kujitolea kwa vijana

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akiongea na wahitimu wa program ya kujitolea wa Vyuo Vikuu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar –es-Salaam.Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter
 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel katikati akimkabidhi Cheti Bi.Ndidi, wakati wa kuhitimisha Programu ya kujitolea kwa Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuila ni Mkurugenzi Mkazi wa VSO International Tanzania Bw. Jean Van Wetter.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel mwenye suti nyeusi akiwa katika picha ya pamoja na  Wahitimu wa Program ya kujitolea kwa Vijana wahitimu wa vyuo vikuu katika uwanja wa taifa jijini Dar-es-Salaam, kulia Mkurugenzi Mkaazi wa VSO International Tanzania Ndg. Jean Van Wetter.(Picha na Benjamin Sawe)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.