Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar JKU na KMKM, JKU imeshinda 2--0

Beki wa timu ya JKU akimiliki mpira huku mchezaji wa timu ya KMKM kulia akimkimbilia katika mchezo wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya JKU imeshinda 2--0.
Golikipa wa timu ya JKU akidaka mpira huku mabeki wake wakimlinda kuzuiya madhara golini kwao.
Mchezaji wa timu ya JKU akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya KMKM akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa Amaanm, timu ya JKU imeshinda.2--0









Benchi la wachezaji wa timu ya KMKM wakiwa hawaamini macho yao baada ya kukubali kipigo cha mabao 2--0 dhidi ya timu ya JKU mchezo uliofanyika uwanja wa amaan.
Makocha wakipongezana kushoto kocha wa KMKM Shein na kulia Kocha wa JKU Malale Hamsini, wakipongezana baada ya mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt uliofanyika uwanja wa amaan  
Kocha wa timu ya KMKM Shein, akizungumza nma swaandishi wa habari baada ya mchezo wao wa ligi kuu ya grand malt kumalizika kwa kupoteza mchezo huo kwa kufungwa na timu ya JKU.timu yake imepoteza nafasi za ushindi katika mchezo huo.  
Kocha mkuu wa timu ya JKU Malale Hamsini akizungumza na waandishi wa habari za michezo baada ya mchezo wao na timu ya KMKM uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya JKU imeshinda 
2--0

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.