Habari za Punde

Waziri wa Habari Atembelea Kituo cha Redio DW Ujerumani.

 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe.Said Ali Mabrouk, akiwa na ujumbe wake wakipata maelezo mafupi kuhusu DW kutoka kwa Naibu Mkuu wa Idhaa hiyo Ndg.Mohammed Abdulrahman.

Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe.Said Ali Mabrouk, akiwa na ujumbe wake wakipata maelezo mafupi kuhusu DW kutoka kwa Naibu Mkuu wa Idhaa hiyo Ndg.Mohammed Abdulrahman.


 Waziri Mbarouk akitembelea Studio za Kiswahili za Radio DW alipofika katika Studio hiyo kujionea utendaji wa Kazi za habari zinavyofanyika kituoni hapo 
Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezon Zanzibar Mhe. Said Ali Mbarouk, akiwa katika picha ya panmoja na ujumbe wake na Wafanyakazi wa DW, wakati alipotembelea kituo hicho cha Utangazaji Ujuremani akiwa karika ziara yake nchini humo.(Picha kwa Hisani ya DW) Kutoka 

kushoto, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Utangazaji Zanzibar, Chande Omar, Mohamed Khelef wa DW, Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman, Waziri wa habari Said Ali Mbarouk, Sudi Mnette wa DW, Rashid Omar kutoka chuo cha habari Zanzibar na Mkurugenzi wa shirika la utangazaji la Zanzibar Hassan Mitawi

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.