Habari za Punde

Ukimwaya wa CECAFA juu ya hatma ya Mashindano ya Challenj Zanzibar Heroes Wakiendelea na Mazoezi Amaan Zenj.

Kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes kikiwa katika mazoezi yake katika uwanja wa Amaan chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo Hemedi Moroco, wakiendelea na mazoezi hayo kama wanavyoonekana picha wakiwa katika mazoezi hayo.
 Wachezaji wa timu ya Taifa wakimsikiliza Kocha wao baada ya mazoezi ya asubuhi katika uwanja wa amaan.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.