Habari za Punde

Abdulrahman aibuka mwanafunzi bora katika sayansi ya Kompyuta ngazi ya cheti kwenye mahafali ya 10 ya SUZA

 Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa katika pozi wakati alipohudhuria mahafali ya 10 ya SUZA ambapo alitunukiwa cheti cha mwanafunzi bora katika sekta ya Sayansi ya Kompyuta ngazi ya cheti ( Certificate level)  na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein
 Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa na cheti chake  cha mwanafunzi bora katika sekta ya sayansi ya Kompyuta aliyoipokea kutoka kwa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein
 Abdulrahman akipatiwa maelekezo ya jinsi anavyotakiwa kufanya kabla ya kwenda kukabidhiwa tunzo yake ya mwanafunzi bora
 Wahitimu waliohudhuria mahafali ya 10 ya SUZA wakielekea sehemu ya mahafali kwenye kampasi ya SUZA Tunguu
 Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wengine na Walimu wake pamoja na mzazi wake
Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa  na ndugu yake baada ya kutunukiwa cheti cha mwanafunzi bora katika Sekta ya sayansi ya Kompyuta kwenye mahafali ya 10 ya SUZA hivi karibuni. Kushoto ni baba yake Dk Mohammed Hafidh na kulia ni mama yake mzazi. 

4 comments:

  1. Mabruk kijana Abdulrahman Mohamed Hafidh. Kutoka Kenya mimi na familia yangu tunafurahia umahiri wako katika sekta ya sayansi ya compyuta.

    ReplyDelete
  2. Mabruk kijana Abdulrahman Mohamed Hafidh. Kutoka Kenya mimi na familia yangu tunafurahia umahiri wako katika sekta ya sayansi ya compyuta.

    ReplyDelete
  3. Mabruk kijana Abdulrahman Mohamed Hafidh. Kutoka Kenya mimi na familia yangu tunafurahia umahiri wako katika sekta ya sayansi ya compyuta.

    ReplyDelete
  4. Congrats to you tons, and to the proud parents. ALLAHI -BARIQ
    AMIN!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.