Habari za Punde

Dk. Shein Azindua Michuano ya Riadha ya Wilaya Uwanja wa Amaan Zanzibar leo.

Bandi ya Chuo cha Mafunzo Zanzibar kikipita mbele ya Mgeni rasmin wa Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya Zanzibar yaliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar na kushirikisha Wanamichezo 250 kutoka Wilaya 10 za Zanzibar. 
Wanamichezo wa Wilaya ya Mjini Unguja wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Wanamichezo wa Wilaya ya Mkoani Pemba wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Wanamichezo wa Wilaya ya Micheweni Pemba,wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Wanamichezo wa Wilaya ya Wete Pemba wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Wanamichezo wa Wilaya ya Kati Unguja wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.

Wanamichezo wa Wilaya ya Chakechake Pemba wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Wanamichezo wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar wakishirikwaki  katika michezo hiyo iliozinduliwa leo Amaan Zanzibar.
Wanamichezo wa Wilaya ya Kaskazini A Unguja wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Wanamichezo wa Wilaya ya Kusini Unguja wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.


Wanamichezo wa Wilaya ya Magharibi Unguja wakitowa salamu zao wakati wakiwa katika maandamano Maalumu ya Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar, kukuza Mchezo huo na kurudisha hadhi yake kutajika Zanzibar kwa Riadha.
Waamuzi wa Mchezo wa Riadha wakipita mbele ya Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa uzinduzi wa michezo hiyo ya Wilaya za Zanzibar, zinazofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitowa nasaha zake wakati akiwahutubia Wanamichezo wa Mchezo wa Riadha wa Wilaya za Zanzibar, ukiwa chini ya Udhamani wake kuinua vipaji vya Vijana kutoka Wilayani kurudisha hadhi ya Zanzibar katika mchezo huo wa Riadha Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar (BMZ) Bi. Shery Khamis akitowa maelezo ya kukamilika kwa michezo ya Riadha na kuzinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wananchi wakishuhudia Uzinduzi wa Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar katika uwanja wa amaan Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Bihindi Hamad na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Bi Shery Khamis.kulia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizindua Michezo ya Riadha ya Wilaya za Zanzibar katika uwanja wa Amaan Zanzibar kwa kipiga juu bastola kuashiria uzinduzi wa michezo hiyo inayofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wanamichezo wa Jumuiya ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar wakishirikwaki  katika michezo hiyo iliozinduliwa leo Amaan Zanzibar.
Mmoja wa Washiriki wa Michezo ya Riadha ya Wilaya akisoma kiapo cha kanuni za mchezo wa Riadha kwa niaba ya Wanamichezo wote.kabla ya kuaza kwa michezo hiyo inayofanyika uwanja wa Amaan, Zanzibar. 






                       Wanariadha wakishiriki mbio za mita 5000 wakiaza mbio hizo


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.