Habari za Punde

Innaa Lillaahi wainnaa ilayhi Raaijuun - Ustaadh Zamil Ali Muhsin hatunaye tena

Hakika sote ni wa Allah na marejeo yetu ni kwake. Kwa niaba ya wanafunzi wenzetu tunasikitika kutangaza kifo cha Mwalimu wetu Ustadh Zamil Ali Muhsin.
 
Maziko yatafanyika leo nyumbani kwake Fuoni baada ya sala ya Ijumaa. Maiti itasaliwa Msikiti wa Ibadhi Fuoni na kuzikwa Uzini.
 
Mwenyeenzi Mungu amfanyie wepesi katika safari yake ampe kauli thabit na amjaalie kaburi lake liwe miongoni mwa mabustani ya peponi. Amin Thumma aamiyn.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.